Friday, March 18, 2016

NAFASI ZA MASOMO YA KIDATO CHA TANO MWAKA 2016.

Uongozi wa shule ya sekondari Airport Mbeya unawatangazia wazazi, wanafunzi na wananchi wote, kuwa fomu za kujiunga na kidato cha tano 2016 zimeanza kutolewa rasmi.
Michupuo (combinations)
HGL
HGK
HKL
Fomu zinapatikana shuleni Airport high school mbeya(Tshs. 15,000/=), Airport ya zamani kilometre 2 kutoka mafiati au eso barabara kuu ya Tanzania Zambia.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia Namba 0763673214 au  0755052640

No comments:

Post a Comment