WALIOCHAGULIWA MASOMO YA KIDATO CHA TANO SHULE ZA SERIKALI NA VYUO MWAKA 2016.
JUMLA YA WANAFUNZI 129 KUTOKA AIRPORT SECONDARY MBEYA WAMECHAGULIWA.
Saturday, June 25, 2016
WALIOCHAGULIWA MASOMO YA KIDATO CHA TANO SERIKALI NA VYUO
Wednesday, March 23, 2016
Friday, March 18, 2016
NAFASI ZA MASOMO YA KIDATO CHA TANO MWAKA 2016.
Uongozi wa shule ya sekondari Airport Mbeya unawatangazia wazazi, wanafunzi na wananchi wote, kuwa fomu za kujiunga na kidato cha tano 2016 zimeanza kutolewa rasmi.
Michupuo (combinations)
HGL
HGK
HKL
Fomu zinapatikana shuleni Airport high school mbeya(Tshs. 15,000/=), Airport ya zamani kilometre 2 kutoka mafiati au eso barabara kuu ya Tanzania Zambia.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia Namba 0763673214 au 0755052640
Monday, March 7, 2016
MASOMO YA KIDATO CHA TANO NA SITA.
SHULE YA SEKONDARI YA AIRPORT MBEYA TANGU MWAKA JANA (2015) ILIANZISHA RASMI MASOMO YA KIDATO CHA TANO. MICHEPUO YA SANA
HGL HGK NA HKL.
Thursday, February 25, 2016
Matokeo ya kidato cha nne 2015.
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE AIRPORT HIGH SCHOOL MBEYA 2015
DIVISION ONE 2
DIVISION TWO 75
DIVISION THREE 72
DIVISION FOUR 13
DIVISION ZERO 0
NAFASI YA SHULE KATIKA MKOA WA MBEYA NI YA 19 KATI YA SHULE 270.